Je Nyie ni vijana mlio katika mashirika au vikundi vya vijana vyenye malengo ya kuleta mabadiliko yenu na ya nchi yenu kijamii na kiuchumi?
Je mnamawazo, fikra zozote zinazolenga kukuza na kuendeleza fursa za ujasiriamali kwa vijana wa watanzania?
Kama ndiyo, hii ni nafasi muhimu kwenu kuwa chachu ya mabadiliko Tanzania.
The Youth Entrepreneurship Facility ni mpango maalumu na wa kiushindani unaolenga kujengea uwezo wa mashirika na vikundi vya vijana katika ujasiriamali endelevu kupitia msaada wa kiufundi, mafunzo na ruzuku.
Iwapo shirika au kikundi/ mtandao wenu una wazo jipya linaloweza kuongeza ujasiriamali kwa vijana wa kike na wakiume katika eneo lako na kukabiliana na changamoto za ajira kwa vijana, tafadhali soma maelezo na jaza fomu ya maombi kwa kupitia tovuti yetu : www.ilo.org/yen
Zingatia: kwa awamu hii ya kwanza vijana watakaoshiriki ni wale waishio na kujishugulisha katika wilaya za Handeni, Musoma Mjini, Singida Mjini, Tabora, Urambo, Lindi Mjini, Mtwara Vijijini, Mpanda, Bagamoyo, Rufiji,Micheweni na Unguja North A.
Maombi haya yatafungwa tarehe 31/08/2010
Pakua viambatanisho muhimu vilivyoko chini kabisa mwisho wa posti hii.
WEBSITE: www.ilo.org/yen
EMAIL: yefafrica@ilo.org